Angalia maana za hizi methali

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
1) Mfa maji?… tampa life jacket hiyo.
(2) Mwenda pole?…tachelewa fika hiyo.
(3) Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani.
(4) Usilolijua?…uliza google.com.
(5) Mbio za utelezini?…chafua guo yako.

(6) Ukipenda boga?…ngoja mezi ya ramzani tapata.
(7) Ukiona vinaelea?…iko nyepesi hiyo.
(8) Maji yakimwagika?…mambie dada ta-deki.
(9) Chelewa chelewa?…takosa guo ya sikukuu…..
(10) Kila ndege .....? Hutua Airport

(11) Bandu bandu ....? Hiyo Rafiki yake Juma hiyo
(12) Mtaka cha Mvunguni ....? Sharti Bindua tanda
(13) Simba mwenda kimya .....? Kama sio gonjwa khanisi
(14) Aisifuye mvua ....? Mkulima
(15) Barabara ndefu ....? Ongeza mwendo, tachelewa fika

(16) Mlanawe hafi nawe ila .....? Takimbia
(17) Asie sikia la mkuu ....? Mkuu tapeleka jela
(18) Hasira za mkizi ....? Tatafuna yeye
(19) Mchamba wima ....? Karibu ya Hurumzi
(20) Akumurikae mchana ....? Kipofu

(21) Mficha maradhi ....?Taenda Loliondo
(22) Mkataa wingi ....? Taenda Chadema
(23) Bendera ....? Kama sio ya CCM, ya CUF
(24) Baniani mbaya ....? Sio kweli, naonea tu
(25) Akili nyingi ….? Tapasi mtihani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom