JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A nice, calm and respectable lady went into the pharmacy, right up to the pharmacist, looked straight into his eyes and said, "I would like to buy some cyanide. "The pharmacist asked, "Why in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Guess what, I am among the three candidates shortlisted to take DSK's position. It's me, Gordon Beown and another Germany guy. Please my fello JF members put your prayers on me. IF God wishes...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukifuatilia tv kuna tangazo moja la kondom. Jamaa kaenda umasaini kuposa. Sharti ikawa ajue kuruka kimasai. Mara ya tatu kuruka akadondosha kondom. Sasa pale binti anapomcheki jamaa kwa nishai...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimepokea matokeo ya Mtoto wangu anayesoma St Maendeleo Academy. Nimeona ni wawekee matokeo yake wadau naomba ushauri nimfanyaje huyu kijana?
0 Reactions
57 Replies
6K Views
1. Unawasalimia watu usiowajuwa na kutaka urafiki na kila anayetaka kuzungumza na wewe, halafu unaanza kumwita mtu huyo (usiyemjuwa undani wake wala tabia zake)aunt au anco!. 2. Asilimia 90 ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman huyu dada anayeitwa miss judith huwa namzimia sn hasa anapochangia mada humu jf,huwa c mtu wa kukurupuka na anawasilisha vilivyo binafs huwa anaukonga moyo wangu!miss judith upooo...?
0 Reactions
107 Replies
8K Views
kuna mbwa mmoja hivi askari wa jeshi la marekani alikuwa ni balaa kwa kukamata wezi, mkuu wa mkoa wa kilimanjaro akamuomba, baada ya siku 3 alikamata wezi 10. mkuu wa mkoa wa dar naye akumuomba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hili Neno Lina Maana Gani? Kama kuna maneno mengine usiyojua maana zake yaweke hapa ili tusaidiwe.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
KIJANA WA KIDOSI BAADA YA KUMALIZA TUITION YA KISWAHILI, ANAJIBU IFUATAVYO: (1) Mfa maji?… tampa life jacket hiyo. (2) Mwenda pole?…tachelewa fika hiyo. (3) Usipoziba ufa ?…mizi taona...
2 Reactions
12 Replies
12K Views
Kabla ya hukumu ya kesi kuanza,hakimu aliwatazama mawakili wawili wa kambi pinzani,akasema,"nimepewa rushwa na nyinyi wote"."mawakili wote wakapigwa na butwaa".Hakimu akaendelea,"Bwana Leon...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikua anakata roho,muda huo mkewe alikua karibu nae,jamaa akamwambia mkewe"mke wangu naomba unisamehe kuna kosa kubwa nimekufanyia,nilitembea na dada yako,mdogo wako,rafiki yako na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wa awamu ya kwanza alikuwa anaitwa BABA MAKONGORO wa Awamu ya pili anaitwa BABA ALLY wa Awamu ya nne anaitwa BABA RHIZI WA AWAMU YA TATU ANAITWA BABA NANI????????????????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati wa kampeni ya uchaguzi wa mwaka jana Dr Slaa alisema kuirudisha CCM madarakani ni sawa na kujitafutia maafa. Hali inavyokwenda sasa Serikali imepigika, wananchi wamepigika. Mnaionaje kauli...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamaa 1 alikuwa akikojoa kichakani,nyuki akamg'ata kichwa cha kikojoleo,kitu kikavimba kweli,alipofika kwake mkewe akawa anamtoa ule mwiba wa nyuki huku akisali kimoyo;mungu naomba muondolee mme...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mlevi 1 alipanda daladala akakaa siti 1 na mlokole,mlokole akaanza kumhubiria yule mlevi; mpendwa mwenzangu unajua unaenda motoni? Mlevi akashtuka na kupayuka; we konda nishushe kumbe huendi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi nasikia uliwakatikia watu bar, jana ukamkatikia bosi ofisini, leo umenikatikia mimi chumbani sijui una matatizo gani. Jamani huu UMEME!!!!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
U
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom