Mchaga na pesa

Mchaga na pesa

ng'wanankamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
346
Reaction score
121
Mchaga mmoja alidondokea kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa, mkewe akaja na kamba mpya akamrushia. Mumewe akauliza; "Umenunua shilingi ngapi?" Mke akamjibu " Buku" akamwabia irudishe, nenda kwa Massawe anauza jero. Fanya fasta nitazama.
 
duuu...ni sooo....hata ktk uhai anawaza hela tu
 
Mchaga mmoja alidondokea kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa, mkewe akaja na kamba mpya akamrushia. Mumewe akauliza; "Umenunua shilingi ngapi?" Mke akamjibu " Buku" akamwabia irudishe, nenda kwa Massawe anauza jero. Fanya fasta nitazama.[/QUOTE

Ngoja wenyewe waje.
 
Hii ni kali mzee, hawa ndugu zetu hawa balaaaa!
 
ugomvi mwingine mnaanzisha hauna hata maana, hebu tuheshimiane tuache kuzarauriana makabila.
 
jamni utani mwingine mcipige ikulu direct kavukavu
 
Ndo mana mi nikituma kitu dukani naelekeza pa kununua kabisa. Kwj mrombo au kwa Tarimo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom