Kichwa maji.

Kichwa maji.

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,322
Reaction score
2,897
Unajua kwamba 80% ya kichwa chako ni maji? Na ndio yanawezesha akili kufanya kazi ipasavyo. Kwa hiyo nikikuita kichwa maji si kwamba nimekutukana bali nitakuwa nimesifia uwezo wa akili kichwani mwako. Good day KICHWA MAJI.
 
ahsante cha pombe, maana nasikia 90% of your time unafikiria pombe tu.
 
Pombe sio maji MKUUUU. Au ndio wewe kichwa maji!!!
92% ya beer inacontain maji...yale yale tu...hata dunia yenyewe imezungukwa na maji kwa 70% sasa unategemea nn kwa watu wake wasiwe vichwa maji..maji kila sehemu!!
BIg up Vichwa maji wote duniani
 
Haah haaa haah. Umenifurahisha mazee.
 
Back
Top Bottom