Kiulikuwa na wanawake 3 ambao walinunua ice creame {Ballcone} wa kwanza alikuwa anainyonya, wa pili alikuwa anailamba, na wa tatu alikuwa anaimung'unya! Swali, Je! utamjuaje kati ya hawa alieolewa?
Shule za kata nazo zimefungwa eeeh?Ungejitambusha basi....
anaza senksi naweka hapa.we una akili sana.kumbe vyuo vimefungwa? Ndiyo maana watoto wamefurika jf!
Kumbe vyuo vimefungwa? Ndiyo maana watoto wamefurika JF!
aaaah...! Nyie wazee mbona mnatunyanyapaa..?.! Mbona cjaona sehemu inayokataza wanafunzi kuwa members..?...Kumbe vyuo vimefungwa? Ndiyo maana watoto wamefurika JF!