Nyimbo nyingine kupiga club ni hatari...

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Mimi nashindwa kuelewa nyimbo nyingine wanapiga club. Jana nacheza mziki mara unakuja wimbo wa Enrique Iglesias - Tonight im f*** u. Ghafla mademu wanajirusha kwa nguvu kweli. Nikajua labda leo tunapewa za bure...kumbe wanacheza wimbo tu na ukiisha hao nyumbani wenyewe!! Nadhani nyimbo kama hizo zikipigwa inabidi zifanyiwe kweli...

http://www.youtube.com/watch?v=S6Gtw3izTs0

lakini huu wimbo ni mkali hasa ukiwekewa beat la house lazima ucheze...!
nawakilisha....
 
Hahaha! sasa ulitegemea baada ya wimbo kwisha sista mmoja akushike mkono na kuondoka na wewe ?
 
I rarely dance... but huu wimbo ni moja ya wimbo unakufanya you wish you loved clubbing....
 
Mkuu ilo ni kweli lakini ukipanga mistari vizuri mdomoni unang'oa bila shida
 
Hahaha! sasa ulitegemea baada ya wimbo kwisha sista mmoja akushike mkono na kuondoka na wewe ?

hahaha...sasa wimbo ulishaeleza dhamira...nilijua tu ni kwenda na kumshika mkono na kutoka naye...
maneno matamu ya nini tena wakati tumeshaweka conclusion nje?
mademu bwana na psychology yao...
 
Siku hizi wanashindana kutukana tu...... Ona hapa Chirs Rock anavyosema:



Utashangaa hizi nyimbo huzisikii redioni wala kwenye TV ila watu wanaziimba kuanzia mwanzo hadi mwisho. Hebu ona ukumbi unavyoimba wimbo wa Lil Jon hapo juu......

Mchakalamu mwingine ni huyu bibie hapa ambao akina dada ndiyo wanaupenda zaidi huu wimbo..... Hapa huwa nashindwa kuelewa. Kuna Mkongo mmoja anasema enzi ya Mbilia Bel, pamoja kuimba kuwatetea wanawake, akina dada walikuwa wakimchukia na Franco Luambo pamoja na kuwatukana akina dada, ndiyo kwanza walikuwa wakimzimia......

 
Last edited by a moderator:
Mkuu maana na vitendo ni vi2 viwili tofauti wengi wanacheza juu ya uwimbo haijalishi maana
 
clubbin its ol about beats and not lyrics!...let dj do his things!watu disco hawaendi kuchambua fani na maudhui ya fasihi.......
 
Back
Top Bottom