JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Laugh a little: Mchaga alidondoka kwenye kisima cha maji, akapiga kelele akitapatapa. Mkewe akaja na kamba mpya akamshushia. Mume akauliza, umenunua shilingi ngapi? Mke akajibu, buku pale kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania imemkataa Balozi mpya wa Japan kwa kulinda heshima na maadili. Balozi huyo anaitwa FURUKUMA TAKAUCHI, Mke wa Balozi anaitwa TAKATIWA KILAMARA, Mwanawe wa kiume anaitwa NITASHIKA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkoa wa Singida kuna kijiji kinaitwa SENGE. Raisi Mwinyi alienda katika kampeni za uchaguzi 2010. Mambo yakawa hivi: Mwenyekiti na Katibu WA SENGE, Ndugu wananchi WA SENGE, vijana, wazee...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maisha ni nini wajameni? Hivi ni kwa nini hasa tunaishi? Nia na madhumuni ya maisha ni ipi? :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1: Leo nimejikuta najiuliza hili swali na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Barack Obama was seated next to a little girl on an airplane trip back to Washington. He turned to her and said, "Let's talk. I've heard that flights go quicker if you strike up a conversation...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Siku moja Karim,John na James waliweka kambi jangwani.kila mmoja alikuwa na hifadhi yake ya chakula na maji.Karim alikuwa na chuki ya kisirisiri dhidi ya John,wakiwa wamelala usiku Karim alitia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukikuingia unajisikiaje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WanaJf sijui kama hii barua ilishakuja hapa maana katika pitapita zangu nimekumbana na hii barua labda ilishamfikia Rais wetu mpendwa, Kama ilishakuja hapa Mod atanisadia Source:Google (1)...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuhani Fundi Mchundo Binti maringo YournameisMINE Hawa watu walikuwa active sana hapa jamvini kipindi sijajisajiri, ni mda mrefu sana sijawasikia wakongwe hawa. Naomba niwaulize nyie akina...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Mpaka kufikia hapa leo kuna mambo mengi ya nyuma ambayo yanaleta kumbukumbu za kusisimua wewe unakumbuka mambo gani? Kwa upande wangu nakumbuka jinsi nilivyokuwa tunatumia sabuni za kuogea kupaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Have funny!! Though English not so good, it’s a good story. I not send sms to ladies again. I also dont save lady that will send me sms. This is because, if i am caught, i will say the person...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja mlemavu asiye na mikono alitumbukia shimoni usiku, akaanza kupiga mayowe ya kuomba msaada.Bahati nzuri akatokea msamaria mwema aliyesikia mayowe akaenda kusaidia, lakini akakuta...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kipofu na kiwete walikaa barazani siku ya mvua wanapiga stori, mara gari ikapita ikawarushia maji, kiwete akataka kumzidi kipofu, akamwambia: "Nishikie magongo yangu nimkimbize" Kipofu akaona...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Muhindi alikuwa akitoa ushahidi mahakamani dhidi ya jamaa aliyefiwa na dem wake wakiwa Gesti wakati wakinanihilia... HAKIMU 'Shahidi ieleze mahakama jinsi ulivyoona' MHINDI 'bana kuba mimi ona...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mtoto alipotakiwa kuadhibiwa na baba yake kutokana na kukojoa kitandani alijitetea kama ifuatavyo: Baba: Kwanini umekojoa kitandani usiku wa kuamkia leo? Mtoto: Nilikuiga wewe. Baba: Huna adabu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mama mmoja alimkuta mume wake karoweka U B O O kwenye beseni, akamuuliza kulikoni? Mume akajibu 'naangalia pancha maana leo siku ya pili haujasimama'
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Chodo walked into class every morning with a black eye. After a while his teacher got worried and asked him about it. Chodo's answer was: "Our house is very small miss. Me, my mother and my...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alikuwa na desturi ya kwenda baa na rafiki yake kwa kipindi kirefu, kwa bahati mbaya rafiki yake huyu alifariki dunia. Jamaa akawa kila akienda baa anaagiza bia mbili na glass mbili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
(MUME):Mke wangu,MUNGU amekuumba mrembo sana lakini pia alikuumba mpumbavu sana. (MKE):Ni kweli uyasemayo,MUNGU aliniumba mrembo ili urembo wangu ukupumbaze wewe,na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
While visiting England , Mr. Mrema the Chairman of TLP was invited to have tea with the Queen. He asked her what her leadership philosophy. She said that it is to be surrounded with intelligent...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom