Unajiskiaje?

Unajiskiaje?

hiki kitoto kipo likizo afu bado kanatuuliza sisi. si kawaulize wazazi wake hapo nyumbani!!!!!!!!!
 
afu kamejiunga juzi. dogo kakojoe ulale bana!!!!!!!!! aaagghhhhh!!!!!!!!!!
 
Hiki kirusi cha shule ya kata kikiingia jamvini tunajisikia vibayaaaa!!!
 
mmesharudi tuisheni ehee, nendeni fb sasa.
 
Samahani wakuu wa shule za saint na vipaji, nilisahau. Nakusudia MWIBA.
 
Back
Top Bottom