Maisha..

Maisha..

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,082
Reaction score
12,676
Maisha ni nini wajameni?
Hivi ni kwa nini hasa tunaishi?
Nia na madhumuni ya maisha ni ipi?

:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Leo nimejikuta najiuliza hili swali na sijapata jibu muafaka..

Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeellllllllllllllllllllppppppppppppp!!!!
 
Mpakaujiulize swali kamahili kuna kitu unakikosa maishani mwako hata kama hujui!!Yani hayajakamilika/hujaridhika/huna furaha na kuendelea!
Ningejibu swali lako ila sijawahi kufikiria kwanini naishi....NAFURAHI TU kwamba naishi!!
 
Nashukuru Lizzy, nadhani inapotokea mtu hakuna unachokikosa, unapata kila unachokihitaji na hakuna usumbufu unaoupata kwenye maisha (stress free) pia inaweza kusababisha kujiuliza hili swali,,. Ila siamini kuwa hakuna ninachokikosa, ingawa sijui nakosa nini.. Ngoja nijichunguze tena..

Tunaishi ili tufe.
Hahahaa, hata mimi ndo nawaza hivyo hivyo.. Ila ndo najiuliza yaani tunaishi ili tufe, halafu Basi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom