Tulikotoka: Unakumbuka nini?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,673
Mpaka kufikia hapa leo kuna mambo mengi ya nyuma ambayo yanaleta kumbukumbu za kusisimua wewe unakumbuka mambo gani? Kwa upande wangu nakumbuka jinsi nilivyokuwa tunatumia sabuni za kuogea kupaka mwilini. Ilikuwa ni msisimko wa aina yake kwa vijana wenzangu kwani wengi walinizunguka kutaka kujua nimepata wapi kwani ilikuwa ni vigumu kupata pafyum!

Pia siwezi kusahau jinsi ilivyokuwa kitu cha kawaida mtu kupaka mafuta ya kula mwilini.
 
Hata mi nshapaka sana korie hahahaaa umenikumbusha mbali sana
Duh! wewe ulikuwa juu hayo mafuta yalikuwa bei mbaya wenzio tulikuwa tunapaka mafuta ya uto kwa sisi wa pwani siku nyingine unapaka machicha ya nazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom