Mkoa wa Ruvuma

Mkoa wa Ruvuma

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,322
Reaction score
2,897
Mkoa wa Singida kuna kijiji kinaitwa SENGE. Raisi Mwinyi alienda katika kampeni za uchaguzi 2010. Mambo yakawa hivi: Mwenyekiti na Katibu WA SENGE, Ndugu wananchi WA SENGE, vijana, wazee wenzangu na watoto wooote WA SENGE. Mabibi na mabwana WA SENGE. 'Assalama Alaykum' WA SENGE OYEEEE!!!. WA SENGE Kimyaaaaaa!!!
 
ruvuma? wilaya gani mkuu, kwani mie ni mwenyeji wa huku, nnachojua dodoma wilaya ya manyoni ndo kuna
shule inaitwa senge secondary school
 
Mh! kaka sijui km kuna kijiji kinaitwa hivyo kule Ungonini!!
 
ruvuma? wilaya gani mkuu, kwani mie ni mwenyeji wa huku, nnachojua dodoma wilaya ya manyoni ndo kuna
shule inaitwa senge secondary school

Mh! kaka sijui km kuna kijiji kinaitwa hivyo kule Ungonini!!

kwani kichekesho ndo umeambiwa utukane mikoa ya watu?... haya sasa jitetee mbona upo kimya????
 
kwani kichekesho ndo umeambiwa utukane mikoa ya watu?... haya sasa jitetee mbona upo kimya????

Kuna tusi hapo. Hujapata kuona matusi humu? Haya cha mtoto tu.
 
SENGE ni kijiji kilichopo mkoa wa Singida. Kuna jamaa yangu ni mwalimu alipangiwa kwenda SENGE Secondary akfundishe huko. Lakini aligoma kwenda kwa kuogopa namna walimu wa shule hiyo wanavyotambulishwa kwenye mikutano na warsha mbalimbali, eti "walimu wa SENGE"
 
Back
Top Bottom