Ukweli unauma!

Ukweli unauma!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(MUME):Mke wangu,MUNGU amekuumba mrembo sana lakini pia alikuumba mpumbavu sana. (MKE):Ni kweli uyasemayo,MUNGU aliniumba mrembo ili urembo wangu ukupumbaze wewe,na aliniumba mpumbavu ili kwa upumbavu wangu nikupende wewe!
 
Jaguarpaw..wewe wa kike ama umeamua kuwapaisha 2 leo!??
 
Kaaazi kweli kweli,yaani jamaa ndo hamnazo kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom