Mbona wewe pia unakojoa kitandani!

Mbona wewe pia unakojoa kitandani!

Hmaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
346
Reaction score
86
Mtoto alipotakiwa kuadhibiwa na baba yake kutokana na kukojoa kitandani alijitetea kama ifuatavyo:
Baba: Kwanini umekojoa kitandani usiku wa kuamkia leo?
Mtoto: Nilikuiga wewe.
Baba: Huna adabu, kwani mimi nnakojoa kitandani
Mtoto: Mbona huwa nakusikiaga unamwomba mama ruhusa ya kukojoa kitandani usiku nae anakuruhusu.
Baba: Kesho nitakupeleka kwa babu yako kijijini hadi nijenge nyumba kubwa!
 
Dah!ime2lia
Hmaster avatar yako inaonesha jinsi gani ulivyo handsome!!:biggrin1:
 
hahahahahahahahahahahah!tatizo la kuwa na chumba kimoja na watoto karibu lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom