Usijione zaidi

Usijione zaidi

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Kipofu na kiwete walikaa barazani siku ya mvua wanapiga stori, mara gari ikapita ikawarushia maji, kiwete akataka kumzidi kipofu, akamwambia: "Nishikie magongo yangu nimkimbize"
Kipofu akaona anazidiwa akamjibu: "Usipate taaabu saaana nimeshaisoma namba".
 
kama vile track ya prof j ya bongo daresalaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom