Ushamba wa Dar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushamba wa Dar!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Papa Mopao, Jun 1, 2011.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Nasikia Jiji la Dar ndo jiji pekee linaloongoza kwa wingi wa washamba duniani!
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Na hao mbolea wanaishi sayari ipi????
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Si hii hii sayari yetu au kuna mbolea nyingine?
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  washamba wengi wanatokea moshi vijijini
   
 5. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Umesikia wapi!?
   
 6. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Si moshi tu, nchi nzima ndugu yangu, unaweza ukasahau nukta kaka ukikuta hii kitu USHAMBA!
   
 7. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  wengi kweli,ukiwemo wewe pia
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Siyo kweli, watu wa D'Salaam wanajiona wajuvi sana hata kama hawajui kitu! Kimtindo hawaivi na machalii wa Arusha kwa vile kila mmoja anajiona yupo juu kimaujanja.
   
 9. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Hahahahahaa! Hata wewe pia umo au?
   
 10. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Inaelekea umezunguka kwingi ndugu yangu, Babukijana kaniacha hoi na msemo wake nimecheka sana!
   
 11. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hata kama umeishi hapa Dar miaka mingi, ukigongana na mtu mjini ni ushamba, ulikuwa unaangalia nini pembeni kipya? Kweli washamba wako wengi.
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  ukisema "washamba" unmaanisha nini?
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,021
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Wakiwa Dar au nchi nyingine dhidi ya nani kwa ushamba gani?
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Maana ya Ushamba ni nini haswa ?

  Ni jinsi ya kuvaa
  Kujua/kutokujua kuongea lugha za kigeni? n.k

  Ama nini?
   
 15. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Nilipata tafsiri tofauti tofauti kwa watu na nikapata picha moja kwamba wengi walikuwa na maana ya:
  1. Kulimbuka kwa njia zote ulizotaja hapo juu kuvaa nguo, cheo, kumiliki gari, aina ya nyumba, life style

  2. Kujifanya mjuaji sana ama mzoefu sana kwa mambo flani flani kwa hakika ukweli ni kwamba hajui, hataki kujionesha kwamba hajui kwa wengine!

  Nadhan umenipata barabara mkuu!
   
 16. a

  andry surlbaran Senior Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ha ha ha nimependa signature yako mzee wa rula
   
 17. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  sikweli nakataa kabisa.......nipe source mzee....then nitakupa za kwangu
   
 18. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  jambo usilolijua kwako ni mshamba
   
 19. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  askhfef oidsf efa odfdsaeiadf sdfdfaaoooaduf.
  umeelewa namaanisha nini? mshamba wewe!
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  jay dee aliimba kuwekana kwenye speaker wakati wa kuongea na simu na mpnz,na kusimulia yako na mwandani kwa washkaji pia ni ushamba. anaendelea kushangaa alifikiri kijijini tu ndo kuna washamba,kumbe mjini nako kumo!
  kwa kigezo hichi nadhani asilimia kubwa ya vijana na mid-age grp ni washamba

  </p>
  <p>&nbsp;</p>
   
Loading...