Mlevi mmoja alipita makaburini usiku bahati mbaya kulikuwa na kaburi lililochimbwa hajazikwa mtu, akatumbukia, kila alivyojaribu kutoka ikashindikana, akaamua kulala mule, muda si mrefu akapita mlevi mwengine naye akatumbukia, kwa sababu ya giza hakuona mtu, akajaribu kutoka akasikia sautu ikimwambia HUTOKI HUMU akafa palepale.