It is all about making money!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
John alinunua gari kwa £4000,akaliuza kwa Henry £5000.Akalitamani tena,akalinunua kutoka kwa Henry kwa £6000.Siku za baadaye,akaamua kumuuzia lile gari Jane kwa £7000.Je,John alipata faida ya £ ngapi baada ya mtiririko mzima wa manunuzi na mauzo ya gari?
 
yeah John alipata faida.. Cheki hii, alinunua gari kwa £4000, akamuuzia Henry kwa £5000, akapata faida ya £1000. Then, akalitamani tena akalinunua toka kwa Henry kwa £6000, so akawa amepata hasara ya £1000. So faida ya mara ya kwanza na hasara ya mara ya pili vimejicancell each other.. Then akamuuzia jane kwa £7000. So kwa mtiririko mzima, john alipata faida ya £3000, coz mwanzo kabisa alilinunua kwa £4000. Yeah, it was all about making money lol,
 
Alinunua kwa 4000 kisha akauza kwa 5000 hivyo faida = 1000
Alipolihitaji, akalipa 6000 hivyo ikamgarimu kuongeza 1000 hivyo loss = 1000
Kisha akaja kuliuza 7000, faida 3000 kulinganisha na bei aliyonunulia mwanzo,,

Wakati alipolinunua kwa 6000 ilimlazimu kukopa 1000 ili aweze kujazilia pesa aliyokuwa nayo..
Hivyo alipokuja kuliuza kwa 7000 ilimlazimu kurejesha 1000 na kubakiwa na 6000, hivyo faida aliyobaki nayo mwisho wa siku ni 2000...

Makofi Tafadhali..
 
Pwa pwa pwa pwa pwa......!!!!umepatia Mkuu

Hongera,pwa pwa pwa pwa,imara,pwa pwa pwa pwa,waaah. (£5000-£4000)=+£1000,(£1000-£6000)=-£5000,(-£5000+£7000)=+£2000,Hint,(+)=profit,(-)=loss.
 
Alinunua kwa 4000 kisha akauza kwa 5000 hivyo faida = 1000
Alipolihitaji, akalipa 6000 hivyo ikamgarimu kuongeza 1000 hivyo loss = 1000
Kisha akaja kuliuza 7000, faida 3000 kulinganisha na bei aliyonunulia mwanzo,,

Wakati alipolinunua kwa 6000 ilimlazimu kukopa 1000 ili aweze kujazilia pesa aliyokuwa nayo..
Hivyo alipokuja kuliuza kwa 7000 ilimlazimu kurejesha 1000 na kubakiwa na 6000, hivyo faida aliyobaki nayo mwisho wa siku ni 2000...

Makofi Tafadhali..

yeah! Umepatia.. Keep it up mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom