Basi wakati mmoja panya katika pitapita zake mwituni alimkanyaga nyoka kwa bahati mbaya.Ikabidi panya aombe msamaha na kumwambia nyoka pole.nyoka akamjibu pole ya nini? Hebu kione.kitoto kidogo...
Siku moja NYANI na MJUSI walikuwa juu ya mti wanavuta banghi.Mara MJUSI akajisikia kiu,akaamua kwenda kunywa maji kwenye mto wa karibu.Alipofika huko mtoni,MJUSI aliuawa na MAMBA.Yule MAMBA...
A lady boards a bus carrying her baby, she sits next to a man and then starts to breastfeed the baby. The baby refuses to suckle, she yells at the baby " ebu nyonya ama nimpatie huyu uncle ako...
Ivi wallet in ya nini hasa zaidi ya kuringishie kuwa una bunda la hela?
Wakuu kama kukosa wanawake bora nikose,,kitu wallet sikipendi katika maisha yangu.
Mbona laki hata 2 zinakaa kwenye mfuko...
An eighteen-year-old girl tells her Mom that she has missed her period for two months.
Very worried, the mother goes to the drugstore and buys a pregnancy kit. The test result shows that the girl...
Muumini kaenda kwa padri kuungama dhambi zake,
Padri: Umefanya kosa gani mpaka umekuja hap kuungama
Kondoo: Nimekua nikichat meseji za matusi na wake za watu
Padri : Sauti ya chini kabisa...
Sorry 1st, its just a joke....
Sister alikaa uchi padri akamuuliza hiyo ni nini? Sis akajibu ni kaburi. Padri nae kwa makusudi akajikalisha uchi, sister akauliza hy nini, padri akajibu ni maiti...
Ofisini tumepata kijana, kaja kuanza kazi.
Kwa kuogopa ukali wa foleni nikamwambia twende tukazuge sehemu kisha baadae tutaondoka.
Tukaenda kwenye bar iliyopo jirani na ofisi, mziki ulikuwa...
Sijui kama ni wote tulikuwa na babu wenye vituko hivi..ila mi babu yangu alikuwa amewazidi wote..
Mzee Nyela aliitwa...
siku moja kasafiri kaenda Mombasa. kurudi akaja na chumvi ile ya mabonge...
Mla mirungi mmoja baada ya kumaliza na handas kupanda alikwenda hoteli akaagiza supu, mhudumu akamletea yakawa hivi
Mla mirungi: Mhudumu samahani njoo.
Mhudumu: Ndio mzee.
Mla mirungi: Hebu onja...
Little Johnny asks his mother how old she is. Her reply is, "Gentlemen don't ask ladies that question." Johnny then asks his mother how much she weighs. Again the mother's reply is, "Gentlemen...
Habari jamani JF!
What does this say?
a- a bird in the bush.
b- a bird in the tree.
c- a bird in my bush.
d- a bird in the the bush.
e- a bush in the tree.
Haya wajuzi wa hii lugha....
Katika kutaka kujua maendeleo ya afya za wagonjwa wa akili (vichaa) katika hospitali fulani daktali huangalia mienendo ya wagonjwa wale tu: yule anayeenenda vizuri huamini kwamba ana nafuu kubwa...
Kuna bwana mmoja alikuwa hana ajira kwa muda mrefu licha ya kuwa alikuwa na elimu ya chuo kikuu.
Ili maisha yaendelee ilibidi ajishikize kwenye ajira ya udereva wa taxi.
Bahati nzuri kulikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.