Kuku na bata nani mchafu?

Kuku na bata nani mchafu?

MZOMOZI

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
43
Reaction score
4
Kuku anakula hata kinyesi cha binadamu hata kupelekea usemi ukimchambua kuku huwezi kumla.lakini kwa muonekano tofauti na bata hachezei tope,bata kwa upandewake tope na kunya ovyo ndo jadi,lakini bata akiona maji tu hachelewi kujitumbukiza na kuoga.sasa nani mchafu?
 
Back
Top Bottom