segwanga
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,788
- 731
Jk amekuwa bingwa wa kuwaunganisha watanzania katika mambo ya kijamii.
Amefanikiwa kutembelea hadi gerezani kuona jinsi maisha yalivyo,amehudhuria misiba mingi pengine kuliko rais mwingine aliyemtangulia.
Kimataifa ndo usiseme anga linamjua kuwa JK ni nani.
Njoo kwenye ahadi, JK ni hazina bora ya ahadi Tanzania nadhani hata rais ajaye atakuwa anam-consult JK.
JAMBO lililonifanya nianzishe thread hii ni kuwa JK si mdini ila wanaomzunguka ndo wadini. JK amehudhuria sherehe za kuwekwa wakfu maaskof kibao wa kikristo.
JK NI BABA LAO