Tanzania ni mama

Tanzania ni mama

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
tangazaji mmoja aliwauliza vijana 2 waliopuliza ganja:
Mtangazaji: Hebu wewe tuambie kuhusu Tz.
No.1: Mimi mshkaji Tz ni mama yangu imenilea na kunikuza.
Mtangazaji: Vizuri, na wewe ndugu tuambie kuhusu Tz.
No.2: Mimi naona noma siwezi kumzungumzia mama wa mshkaji wangu.
 
Back
Top Bottom