Nipeni jibu

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,571
2,068
Hivi kama ingelikuwa kila ukitenda dhambi moja unatobolewa tundu moja. Jee sisi leo tungefanana na kipi kati ya hivi: NETI, CHUJIO au TENGA?
 
hahahaha..hapo umesahau kimoja, NETI, CHUJIO au TENGA....ama OZONE LAYER!??
 
Back
Top Bottom