nasisitiza haya ni mawazo yangu.
nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nitachelea kuwapongeza wabunge wa kigoma kupitia chama cha cdm na nccr kwa kuonyesha mfano wa kujali wananchi wa jamii yao kwa...
Baada ya kupima ngoma maongezi ya daktari na baunsa yalikuwa hivi. Baunsa: mbona unanishangaa tu badala ya kunipa majibu? Dk. Naogopa utanidunda nikikupa majibu yako.
Tangazo la kazi
Kama uko tayari kufanya kazi yoyote
mahala popote -- kuna kazi
imetangazwa -- huko India vijijini --
kazi ya kunyonga watu.
Maafisa wa gereza la Jorhat, karibu
maili mia...
minaona hawa watu hawatofautian sana, wote matajiri kutokana na matunda ya siasa na wote wanalipwa mshahara mkubwa wakifisadi,wote hawajakataa pesa za posho zao ila wanaomba bunge libadilishe tu...
Jamaa watatu mabakhili sana, wakaelezana waondokane na tabia hii mbaya.
Mdosi: "mimi tachora duara, tarusha pesa juu, takazoingi dani ni za maskini
takazo toka nje ni za kwangu bana"...
Kikwete alienda kwenye mtaai fulani marekani nakukuta umeme umekatika.ikambidi aulize, hivi hata marekani kuna mgao wa umeme? kikwete akajibiwa kuwa huu mtaa ambao umeme umekatika ni mtaa...
Upo nje ya chumba ambacho ukiwa nje huwezi kuona ndani.Ndani ya chumba kuna 'tungsten bulbs' tatu,X,Y,Z.Nje ya chumba kuna switch tatu,A,B,C.Kila switch moja inawasha bulb moja kati ya X,Y na Z...
Jamaa mmoja akiwa na mizigo mingi bandarini dar,alikodi boti zima kuelekea Zanzibar.Safari ilianza vizuri tu,lakini walipofika katikati ya bahari,jamaa akaamuru boti isimame kidogo.Kwa mshangao wa...
Jamaa walijifungia wakila bangi, muda kidogo kibiriti kikawaishia, wakamtuma mwenzao atafute kibiriti. Jamaa akatoka kufika nje akamuona mpita njia akamuuliza una kibiriti? mpita njia akamjibu...
Habari za asubuhi ndugu abiria,mimi ni kapteni Bob mazishi.Karibuni katika ndege yetu ya abracadabra airways.Safari yetu ni kuelekea Mwanza,lakini hatuna uhakika wa kufika mwanza,tunaweza kutua...
Have you ever wondered what it would be like if God decided to install voice mail?
Imagine praying and hearing the following
Thank you for calling heaven.
For English...
A parrot swallows a viagra tablet. His owner, disgusted puts him in the freezer to cool off. Later when he opens the freezer he finds the parrot sweating. " How come you are sweating?" He asks...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.