Slaa, Zitto, Mbowe = Chenge, Rostam, Lowassa

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
minaona hawa watu hawatofautian sana, wote matajiri kutokana na matunda ya siasa na wote wanalipwa mshahara mkubwa wakifisadi,wote hawajakataa pesa za posho zao ila wanaomba bunge libadilishe tu akaunt zao,wote wanaakaunt nje ya nchi,watatu wameoa watatu hawana wake nk wote sawa kama si leo kesho watafanana zaidi.naombeni sifa zao zaidi zinazowafananisha zaiidi.
 
akili yako haitkutoshi, unaomba sifa wakati tayari ulisha conclude ! hii inamanisha ulikuwa unaandika huo ujinga wako kutupotezea muda kusoma vitu ambavyo havina mvuto wowote humu
 
Mlidhani kujivua gamba rahisi? Sasa mnajibaraguza huku na kule huku CCM ikiendelea kudidimia katika shimo refu sana
 
minaona hawa watu hawatofautian sana, wote matajiri kutokana na matunda ya siasa na wote wanalipwa mshahara mkubwa wakifisadi,wote hawajakataa pesa za posho zao ila wanaomba bunge libadilishe tu akaunt zao,wote wanaakaunt nje ya nchi,watatu wameoa watatu hawana wake nk wote sawa kama si leo kesho watafanana zaidi.naombeni sifa zao zaidi zinazowafananisha zaiidi.
Mkuu, kabla sijachangia chochote naomba unifahamishe hawo watatu nani nani hawana wake?
 
Unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo akili umefungia kabatini,haya nenda ofisi za CCM UKACHUKUE POSHO
 
Hivi unaweza kuwalinganisha watu hao? Labda kwa kuchapa kazi ni Lowassa pekee anaweza kumfikia Slaa, Zitto na Mbowe. Hayo mengine ni udaku mtupu. Mbona na wewe umefanana na nao kwa sababu unavaa suruali kama wao
 
Back
Top Bottom