Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

Imeshatoka jikoni karibu nitainywa nilale, napewa kutwa mara 3.
 
Loliondo hakuna la maana sasa hivi tena na dawa yenyewe imeshaisha nguvu
 
Yaani Bujibuji unamaanisha dawa yako iko jikoni au!!!!! hahahahaahaaaaaaa
 
Kwa babu hata watu wasipoenda kisha kuwa bilionea kiulaini, na kodi TRA halipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom