Kulala gizani..Haina Majasho
Petrol 2500 ...haina majasho
maPriest kuuza unga...haina majasho
dawa za bil 8 kuoza MSD ..haina majasho
JET ya TPDF kubeba mtuhumiwa asiye na kesi...haina majasho...
Baba mkwe mmoja kutoka bush alingia mjini. Akakuta wajukuu zake wanagombania barafu .akawapora akijua labda ni ndio almasi akauze. akaweka katika mfuko. Baada ya muda wakiwa pamoja. Watoto...
Binti mmoja alilelewa katika maadili mazuri sana na wazazi wake hadi ukubwani. Kama ujuavyo, binti mwenye maadili hakawii kupata mchumba; akachumbiwa na hatimaye akaolewa.
Siku tatu tu baada ya...
MAMA MKWE:Heee wee binti huyu mtoto mbona hafanani na kijana wangu?
BINTI:Mama samahani huku chini nina njia za uzazi na sio machine ya photocopy!
MAMA MKWE:mmhhhhhhhhhhhh!
Ilikuwa ni noma mbaka huruma baada ya dogo mmoja kumuaga mwalimu wake ili arudi nyumbani kwa kisingizio kuwa babu yake amefariki baadaye mwalimu anaenda msibani eti babu anamwambia mjukuu jifiche...
Imeshakuwa kama kamchezo kwa viongozi mbalimbali kuitumia Kariakoo kama mfano mbaya pale wanapotaka kufananisha na jambo baya
Awali kabisa alikuwa Makamba. Nikaja kumsikia tena jamaa mmoja...
Three contractors are bidding to fix a broken fence at the Ikulu's House.
One from South Afrika, another from Kenya and the third from Tanzania.
They visited the State House office to examine the...
Mvuta bangi kavuta zake bangi...tena mchana kweupe.
akawa anarudi nyumbani kumbe katika kutembea, mguu mmoja ukaingia mtaroni akawa anatembea hivohivo.
Kwa hiyo mguu mmoja mtaroni mwingine...
Ilitokea jana jioni mitaa ya tabata mbele kidogo ya bima, mambo yakawa kama hivi:
Abiria: kondaaaa simamisha kwa mwarabu..
Konda: waarabu huwa hawanipe stimu kabisa sidhani kama itasimaa labda...
Mswahili mmoja mvivu sana alikwenda kwa kinyozi, alipokaa tu kwenye kiti kinyozi akamuuliza unataka kunyolewa ndevu au nywele? Mvivu akajibu ndevu, kinyozi akamwambia inua kichwa basi, jamaa kwa...
Baba mmoja wa kichaga aliingia chumbani kwa watoto wake watatu wamelala wamewasha feni namba 5, akafoka na kuwaambia: "ati nini, nyie ni watatu na feni namba 5 kwanini msiweke namba 3?"
Jamaa Baghili Siku ya Sikukuu alienda kununuwa Mbuzi Kufika Bei aliyoambia kama kawaida yake ikabidi afanye juu chini ishushwe akapewa kwa Bei Rahisi sasa kufika kwa mchinjaji sasa alimtafuta...
Bodaboda ilipata ajali ya kuacha njia na kutumbukia kwenye mtaro.
kilicho washangaza na kuwasikitisha wengine pia kufurahisha wapitanjia ni ule wimbo uliokuwa ukiimbwa na ile pikipiki ni ule...
1-speed angalau kilomita kumi kwa saa2-mlo mmoja kwa siku3-maji lita tano kila unapotembea 4-bukta ya dhalula ndani ya sulali au siketi5-uwe tayari kulala popote hata ukumbi wa disko6-usisahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.