Baunsa na majibu ya ngoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baunsa na majibu ya ngoma

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tindikalikali, Jun 13, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Baada ya kupima ngoma maongezi ya daktari na baunsa yalikuwa hivi. Baunsa: mbona unanishangaa tu badala ya kunipa majibu? Dk. Naogopa utanidunda nikikupa majibu yako.
   
 2. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Basi baunsa kashajua majibu yake!
   
 3. Guma Mlugaluga

  Guma Mlugaluga Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Keshajua lakini hajaambiwa nini! Hana sababu ya kupigana!
   
Loading...