Adha ya umeme wa tanzania hadi marekani!

Adha ya umeme wa tanzania hadi marekani!

makanga

Member
Joined
May 28, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Kikwete alienda kwenye mtaai fulani marekani nakukuta umeme umekatika.ikambidi aulize, hivi hata marekani kuna mgao wa umeme? kikwete akajibiwa kuwa huu mtaa ambao umeme umekatika ni mtaa wanaoishi watanzania!!
 
Huo mtaa utakuwa ni jimbo la maskini la mississip
 
kikwete alienda kwenye mtaai fulani marekani nakukuta umeme umekatika.ikambidi aulize, hivi hata marekani kuna mgao wa umeme? Kikwete akajibiwa kuwa huu mtaa ambao umeme umekatika ni mtaa wanaoishi watanzania!!

hatari hata china ubalozi wa tz umeme unasumbua sana
 
Back
Top Bottom