Jamaa walijifungia wakila bangi, muda kidogo kibiriti kikawaishia, wakamtuma mwenzao atafute kibiriti. Jamaa akatoka kufika nje akamuona mpita njia akamuuliza una kibiriti? mpita njia akamjibu hapana nina lighter. jamaa akarudi kwa wenziwe akawaambia nimekutana na mpita njia hana kibiriti ana lighter. Wenziwe wakamwambia:"we **** sana kalete hiyo lighter" Jamaa akatoka tena akaona mpita njia mwengine akamuuliza una lighter? akajibiwa sina nina klbiriti, jamaa akarudi akawaeleza kuwa aliemkuta ana kibiriti hana lighter, jamaa wote wakaamua kulala.