Wasiopendwa nchi hii ni wachaga na watu wa kaskazini sio CHADEMA!

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
nasisitiza haya ni mawazo yangu.
nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nitachelea kuwapongeza wabunge wa kigoma kupitia chama cha cdm na nccr kwa kuonyesha mfano wa kujali wananchi wa jamii yao kwa kuelekezaa posho zao za vikao vya bunge katika taasisi za maendeleo ya mkoa wao.
laiti hili lingefanywa na wabunge kutoka pande za kaskazini mwa tz hata bila ya kujali itikadi za vyama vya siasa zao, tungeanza kusikia mara ooh ni wakabila, wanataka kuongoza nchi kila aina ya neno lingesemwa nje na ndani ya ccm.
 
Unachokisema ndo chenyewe...watu wa kaska tunakuwa ignored na tunapigwa vita na kila mtu
 
Duh, ngoja tuwaachie watu wa kaskazini. Lakini nawapa Big up Waheshimiwa Zitto, Mkosamali, Masali, Kafulila na Yule Mama wa NCCR. Chama chao sikipendi lakini hakika wamefanya jambo jema sana kwa Kigoma ni Mkoa ambao serikali inauchukulia kama sehemu ya Rwanda na Burundi na sio Tanzania
 
Ahhh who cares...kutuchukia hakutuui wala hakutupunguzii chochote!Tutaishi kama ilivyopangwa na CDM itazidi kuchanua tu!Wenye chuki na chochote kati ya hivyo viwili walie tu!
 
Wanaowachukia wachaga wana wivu tu. Ni kama vile tunavyowachukia ma.ga.ba.cho.li******
 
Back
Top Bottom