Tataaaa

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Kibibi kimoja kizee kilisikia malaika wa kutoa roho watu atawatoa roho vizee vyote, haraka akaenda kuchukua cerelac akawa anakula, ghafla yule malaika akatokea akamuuliza unafanya nini? kile kibibi kikajifanya mtoto kikasema: "nakula mam" malaika akamwambia fanya haraka basi twende tataaaaaa.
 
Back
Top Bottom