Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Upo nje ya chumba ambacho ukiwa nje huwezi kuona ndani.Ndani ya chumba kuna 'tungsten bulbs' tatu,X,Y,Z.Nje ya chumba kuna switch tatu,A,B,C.Kila switch moja inawasha bulb moja kati ya X,Y na Z. (Swali);utawezaje kugundua kila switch inawasha taa ipi?. (Sharti);ukiingia ndani huruhusiwi kutoka nje kabla ya kutoa jibu.