JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
(John):Wife anajifanya jasiri,lakini leo nimegundua anaogopa kitu gani. (Henry);Enhee,nambie umegundua nini? (John);anaogopa maji mpaka anaingia na yule bodyguard wangu James bafuni!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Saidimu ana mbuzi kadhaa na Seleli ana mbuzi kadhaa. (i)Ukichukua mbuzi mmoja wa saidimu ukampa seleli,idadi ya mbuzi wa seleli itakuwa mara mbili ya idadi ya mbuzi wa saidimu. (ii)Lakini...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
SOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ukiwa una drive gari yako kwa spidi ya mwanga(speed of light=3x10^8),then ukawasha headlights(taa za mbele) full,nini kitatokea kwa huo mwanga wa taa ulizowasha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanafunzi mmoja alimuuliza mwenzie amejibu nini ktk mtihani? akamjibu sikuandika kitu nimeacha empty, jamaa akamwambia walimu watashtuka tumekopiana na mimi sikuandika kitu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa yangu wa kipare alioa kwa ubakhili akaenda honeymoon peke yake.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
THIS IS THE ONLY TIME WE WILL SEE AND LIVE THIS EVENT Calendar for July 2011 July Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat 1 2 3...
2 Reactions
0 Replies
966 Views
  • Closed
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi. Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha. Mbowe...
0 Reactions
120 Replies
11K Views
YouTube - ‪Dad at Comedy Barn‬‏
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mvuvi mmoja karudi kwake na samaki mkubwa aina ya chewa(anaishi kwa muda nchi kavu) akamwabia mkewe afanye haraka wamkaange ana njaa, mke akamjibu mafuta dukani yamepanda bei, akamwambia mbanike...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
mtaani kwetu kuna mpemba anawatoto wawili, mkubwa wa kike(7) mdogo wa kiume(5), siku moja mi na rafki angu tukamwita yule wa kiume tukamuuliza hivi we ni mwanamke au mwanaume..!! akasema mwanaume...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuku jogoo, anamkimbiza Kuku jike huku akiwaza 'Nikimkosa nitazuga nafanya mazoezi ila nikimpata nampa vitatu vya faster faster!' Kuku jike anamuona jogoo anakuja anawaza 'Ngoja nijifanye nakimbia...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Msomi mmoja alikutana na mvuvi moja katika chombo yaani mtumbwi walikuwa wakivuka kuelekea ngambo ya pili. Yule msomi akamwambia yule mvuvi ndugu yangu wewe umesoma? yule mvuvi akamwambia duu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Utawezaje kumtambua mwenzio kwamba huyu ndo labda bujibuji, maralia sugu, dena amsi, hmaster nk bila ya kujitambulisha. Mi ntaangalia lafudhi zao tu, je wewe!:majani7:
1 Reactions
75 Replies
6K Views
A dog asked a Cat: Dog: Why do you hide when having sex…? Cat replied: Because we don't want human to copy our style. They have already copied yours!
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Msomi mmoja alikutana na mvuvi moja katika chombo yaani mtumbwi walikuwa wakivuka kuelekea ngambo ya pili. Yule msomi akamwambia yule mvuvi ndugu yangu wewe umesoma? yule mvuvi akamwambia duu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijana mmoja wa kichaga alimueleza rafiki yake hali ya nyumbani ilivyo, kuwa siku 1 alitaka kumuibia baba yake wallet, vile alipofika kuichomoa akakuta ndani yake kuna wallet yake baba ameshamuwahi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wavuta bangi 2 walisimama kituoni kusubiri daladala, mmoja akamuuliza mwenzake tutalijuaje? akamjibu litakalo simama hapa ndio hilo, akamuuliza tena na konda tutamjuaje? akamjibu atakae kugusa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom