Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Saidimu ana mbuzi kadhaa na Seleli ana mbuzi kadhaa. (i)Ukichukua mbuzi mmoja wa saidimu ukampa seleli,idadi ya mbuzi wa seleli itakuwa mara mbili ya idadi ya mbuzi wa saidimu. (ii)Lakini kama ukichukua mbuzi mmoja wa Seleli ukampa Saidimu,idadi ya mbuzi wa seleli inakuwa sawa kabisa na idadi ya mbuzi wa saidimu. (SWALI):Saidimu na Seleli kwa pamoja wana jumla ya mbuzi wangapi? (HINT):Onyesha njia yako jinsi ulivyopata jibu!