M mwl JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,101 Reaction score 914 Jun 13, 2011 #1 Mwanafunzi mmoja alimuuliza mwenzie amejibu nini ktk mtihani? akamjibu sikuandika kitu nimeacha empty, jamaa akamwambia walimu watashtuka tumekopiana na mimi sikuandika kitu.
Mwanafunzi mmoja alimuuliza mwenzie amejibu nini ktk mtihani? akamjibu sikuandika kitu nimeacha empty, jamaa akamwambia walimu watashtuka tumekopiana na mimi sikuandika kitu.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Jun 13, 2011 #2 haahahaaa..kila nikirudia kusoma nacheka tuu.