Hawa ni wezi noma

Hawa ni wezi noma

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Kijana mmoja wa kichaga alimueleza rafiki yake hali ya nyumbani ilivyo, kuwa siku 1 alitaka kumuibia baba yake wallet, vile alipofika kuichomoa akakuta ndani yake kuna wallet yake baba ameshamuwahi.
 
dah! ina maana wachagga ndio wezi kuliko makabila mengine!
 
Duh duh dah yaani baba kawa kibaka. Wachaga kwa hela noma.
 
Kijana mmoja wa kichaga alimueleza rafiki yake hali ya nyumbani ilivyo, kuwa siku 1 alitaka kumuibia baba yake wallet, vile alipofika kuichomoa akakuta ndani yake kuna wallet yake baba ameshamuwahi.
Chagga ni kweli asili yao ni wizi? Ama mas-khara(jokes)? Maana ninae mchumba wa kichagga...
 
kijana mmoja wa kichaga alimueleza rafiki yake hali ya nyumbani ilivyo, kuwa siku 1 alitaka kumuibia baba yake wallet, vile alipofika kuichomoa akakuta ndani yake kuna wallet yake baba ameshamuwahi.

du huyu ni arawa lasma
 
That's the real definition of being sharp, lol......
 
mh? Haya bana kama wachaga wezi na wagogo watakuwa majambawazi kama co ombaomba tuuu
 
Back
Top Bottom