mapenzi ya kuku bana

wapalepale

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
259
56
Kuku jogoo, anamkimbiza Kuku jike huku akiwaza 'Nikimkosa nitazuga nafanya mazoezi ila nikimpata nampa vitatu vya faster faster!' Kuku jike anamuona jogoo anakuja anawaza 'Ngoja nijifanye nakimbia mdogomdogo asije akaniona malaya ila akifika tu namtengea!'
 
Mi bado sielewi,hivi ina maana kuku jike hapendelei yale mambo mpaka akimwona jogoo lazima akimbie kama anataka chinjwa?
 
Mi bado sielewi,hivi ina maana kuku jike hapendelei yale mambo mpaka akimwona jogoo lazima akimbie kama anataka chinjwa?
Jiulize kwa nini dada zetu wanaletaga shobo wakitokewa then utapata jibu la kuku!
 
kwel we mfunga kuku wa kienyej mm ninajua kula kuku na mayai yake wewe unajua hadi anawaza nini duh?
 
Mbona hawa wa kizungu wanaachia ku bila kukimbizana.


teh teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom