Mkuu wa shule,soma vizuri,john&henry wanapeana story,john anaelezea mambo yanayoendelea kati ya mkewe na bodyguard wao anayeitwa james!Ina maana hao jamaa wana mtindo wa kishoga si ndio!?, Mbona wote ni wanaume (John & Henry)!!!!!:juggle:
(john):wife anajifanya jasiri,lakini leo nimegundua anaogopa kitu gani. (henry);enhee,nambie umegundua nini? (john);anaogopa maji mpaka anaingia na yule bodyguard wangu james bafuni!
una utani na wapare wewe?? 2takuchapani mpare tu huyo tena namjua.
haaaa wewe tutake radhini mpare tu huyo tena namjua.