Usafiri Kafiri!

Usafiri Kafiri!

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,604
Reaction score
1,857
1302008.jpg

Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa!
 
1302008.jpg

Ilimradi Tufike Tu, Usalama Mmajaliwa!

Kuna sehemu nyingine usafiri unakuwa wa shida sana jamani, kiasi kwamba hata mwenye gari anaona bora atoe msaada kwa njia hiyo na abiria pia anaridhia kwa sababu hakuna option nyingine.....
 
Afadhali hao wako kwenya gari tena barabara ya lami,je kule mabonde kwinama?
 
hahahaaaa inaelekea huko usafiri wa mwisho ni ng'ombe daaa sijui lini tutapiga hatua mbele?
 
At least hawawi wamesimama wanapokua katika foleni...
 
Back
Top Bottom