We ni mwanamke au Mwanaume???

We ni mwanamke au Mwanaume???

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
936
mtaani kwetu kuna mpemba anawatoto wawili, mkubwa wa kike(7) mdogo wa kiume(5), siku moja mi na rafki angu tukamwita yule wa kiume tukamuuliza hivi we ni mwanamke au mwanaume..!! akasema mwanaume, tulipocheka akasema..mimi mwanamke..tulipocheka zaidi akasema...aahh mimi mwenyewe sijui ngoja ntamuuliza mama akirudi..hahaaa teh teh tehhhh....!!
 
Back
Top Bottom