JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Km huzijui, hapa ndio pa kujifunza. Angalia mwenzako Khanji Bhai alivyojibu kwa ufasaha: (1) Mfa maji?… tampa life jacket. (2) Mwenda pole?…tachelewa fika. (3) Usipoziba ufa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Pals pray God,there's eclipse of the moon.subhanaallah!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cockroach is afraid of a rat... Rat is afraid of cat... cat of dog...dog of man...man of his wife and wife is afraid of cockroach!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Check out Guess Your Number - It's Magic!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wale Aza Boys wenzangu nashauri tuunde Alumni yetu. Ingawa miaka ya karibuni imekuwa na mchanganyiko hata hivyo ali mradi mtu amepita katika majengo yale tuwe na umoja wetu hata humuhumu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo katika hali ambayo sikutegemea nimetoka kazini mbio mbio kuja kuangalia taarifa ya habari nikuwa na hamu ya kuangalia na kusikiliza kambi ya upinzani wakitoa bajeti yao mbadala, lakini sikuona...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Inauma unapoona heshma inakutoka.... Tena inapofikia hadi mtoto mdogo anakucheka, hapo inauma zaidi... Haya matatzo yote ya nchi niipendayo yana dawa! Dawa ni lazma iwe chungu kupta shubiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Ikidhitishwa umeiba mali ya UMMA ( UFISADI ) Ukatwe mkono wa kulia na kufilisiwa mali zako zote 2.Ukikamatwa na kosa la kutumia vibaya madaraka Ukatwe makalio yote mawili ili usiwe unakaa uwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zaman utaftaji wa marafiki ulikua kwenye magazeti tu, sio cku hizi kwenye maFacebook, twitter etc.Hiyo ilikua miaka ya 9O mwishoni wakati huo nlikua mdogo. Kulikua na Mjomba angu alitoa address...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa na mkewe walikuwa wakivunga watoto pindi wanapotaka kula uroda, jamaa humuita mkewe:" mama nanihii niletee typewritter yangu", basi mama anaenda na mambo yanaendelea. Siku moja jamaa karudi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ilikuwa ni noma mbaka huruma baada ya dogo mmoja kumuaga mwalimu wake ili arudi nyumbani kwa kisingizio kuwa babu yake amefariki baadaye mwalimu anaenda msibani eti babu anamwambia mjukuu jifiche...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dada Mmoja alipata Mimba ikawa na Mapacha ndani... Sasa Mwanaume alivyokuwa kazini yule dada akaenda kinyume na sheria akamleta mwanaume mwengine ndani ya nyumba na mambo yakawa kama hivi ndani ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Bakhili mmoja baada ya kuaga dunia alienda direct mbinguni..akakabidhiwa ghorofa mbili kama zawadi.kwa ubakhili wake alizipangisha zote akaenda kuishi jehanam.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wana Jf Nilikuwa naomba kushare na nyinyi hisia zenu, hasa kwa wana JF ambao wameshawahi kufungiwa(BAN) humu jamvini :- nina mambo machache nataka kujua kutoka kwenu 1. ulikuwa unajiskiaje...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
1.Enter any 11-digit prime number to continue. 2.Press any key to continue or any other key to quit. 3.Press any key except... no, No, NO, NOT THAT ONE! 4.Bad command or file name! Go...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Bibi alienda kununua nyanya alipofika akaanza kuziminya minya huku akilia,muuzaji kumuuliza mbona unalia bibi akajibu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi Ndio kumbukumbu zangu za visa za Madenge sijui na wenzangu mnakumbuka zipi? 1. Madenge Darasani kwao alikuja mwalimu mpya wa kike. Akauliza swali 2+2= ? Madenge kama kawaida yake...
0 Reactions
1 Replies
42K Views
Kuna siku nilipanda daladala toka Tegeta mpaka Ubungo na bahati mbaya sikupata bahati ya kupata siti,nikatafuta daladala ya kwenda mbagala nako nilisimama hadi Buguruni, asubuhi hiyo! Baada ya...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Memory was something you lost with age An application was for employment A program was a TV show A cursor used profanity A keyboard was a piano A web was a spider's home A...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Kuna waziri mmoja katika serikali za awamu zilizopita alikuwa waziri wa maji, alikuwa hataki kupigwa picha hii ni kutokana na sura yake kuwa mbaya yan hata sura yake mwenyewe hakupenda kuiona...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom