Eti!

Eti!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Ukiwa una drive gari yako kwa spidi ya mwanga(speed of light=3x10^8),then ukawasha headlights(taa za mbele) full,nini kitatokea kwa huo mwanga wa taa ulizowasha?
 
Hivi kuna gari inaweza kutembea spidi hiyo?
 
Ukiwa una drive gari yako kwa spidi ya mwanga(speed of light=3x10^8),then ukawasha headlights(taa za mbele) full,nini kitatokea kwa huo mwanga wa taa ulizowasha?
washa indicator kufanya jaribio la kuovertake mwanga kwani mtakua sambamba nao, pia hautaangaza kwani utafanywa kuishia kwenye balb.
 
Back
Top Bottom