Imagine JF tunakutana ukumbini!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Utawezaje kumtambua mwenzio kwamba huyu ndo labda bujibuji, maralia sugu, dena amsi, hmaster nk bila ya kujitambulisha. Mi ntaangalia lafudhi zao tu, je wewe!:majani7:
 
sorry nntasikiliza lafudhi zao na si kuziangalia. Kwa mfano nikimsikia msichana au mwanamke kila mala anatumia neno bana badala ya bwana nitajua huyu ndo DA.
 
Nikiiona tu hii sura najua ni Hmaster, ulaya unauzika.
avatar33958_3.gif
 
Mbaya zaidi unaweza kuju kutambua jina la mtu wako wa karibu alitumialo na kuona madhara ya post alizokuwa anatuma kukuponda. Itakuwa mbaya sana. Tafadhali naomba tusikutane.
 
sorry nntasikiliza lafudhi zao na si kuziangalia. Kwa mfano nikimsikia msichana au mwanamke kila mala anatumia neno bana badala ya bwana nitajua huyu ndo DA.

Wako wengi, Lizzy yumo humo
 
Hata kama tukikutana utanitambua? Utaona sura tu ila huwezi jua nani ni nani
 
Tuwaulize wale waliokutana Arusha wakati wanafanya utalii wa ndani, je walitambuana bila kuulizana?
 
Mimi nitasikiliza hoja ni nitaweza kuwatambua Faizfoxy na Malaria sugu! hii inanikumbusha lile pambio la dini moja hivi "...... Nitamjua X2 nimuonapo uso kwa uso, nitamjuuua kwa alama....
 
Mi ntamtambua maria roza fasta kwa kiwango cha ashki alichonacho kila mara.
 
Back
Top Bottom