Zito hajui kiandika vizuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zito hajui kiandika vizuri

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kichapo2015, Jun 11, 2011.

 1. k

  kichapo2015 Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  SOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI KAKA,UNAONYESHA ATA MAANDISHI YA MKONO YANATIA SHAKA JUU YA USOMI WAKO
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mbona hata wewe umekosea. "Zito hajui Kiandika Vizuri" ndio nini?
   
 3. n

  ngwini JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe mwenyewe unajua? Makiki au makini? Crap
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Aisee wewe ndio unajua KIANDIKA (kuandika?) Vizuri.

  Hongera, maana wewe hata maandishi ya keyboard yanakupa tabu!

  Kweli nyani haoni kundule!
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  ama kweli waliosema "nyani haoni kundule hawakukosea"
   
 6. k

  kichapo2015 Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe hicho kiswahili ni fasaa wewe ni kiandika au ulizani kuandika? Na wana jf wengi utaona humu wataona nmekosea hilo neno .tatizo shule ndogo.
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwenye red - Nyani haoni......
  CJUI- Sijui
  Makiki - Makini
  ATA- hata
   
 8. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kaka kubali yaishe hakuna duniani watu wanaongea au kuandika lugha kiusahihi.
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Wewe shule yako kubwa ndio maana unasema kiswahili Fasaa badala ya Fasaha na Ulizani Badala ya Ulidhani!! Shule yako inaweza kuwa kubwa lakini ukawa si Mtanzania halisi ama ni walewale waliopelekwa ughaibuni kusomea huko tangia chekechea (vidudu). Big Up
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Msameheni jamani si mnaona hata tarehe ya kujiunga ! Labda ndio hao waliotumwa kwenye mitandao ya kijamii .
   
 12. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,988
  Likes Received: 20,391
  Trophy Points: 280
  • Zito hajui kiandika vizuri
  Umakini unaouongelea na upi, unapoandika mambo kama haya unaharakia nini au ndo madhara ya kukaririshwa na fikra za chama
   
 13. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nyani haoni kundule
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Na kweli. Nimeondoka manake unaweza vimba vidole kwa kubishana na mtu ambaye hajui alitendalo
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye nyekundu mimi nachoka kabisa
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  umeshaanza kutukana sasa....ngoja nakugombeza sasa hivi
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Usingombeze bana, ntukane itatosha!
   
 18. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Turudi kwenye suala la msingi, huyu mpiganaji anajaribu kutuonyesha njia sahihi ya matumizi ya fedha za walalahoi walipa kodi. Naomba wanaojua hesabu watukokotolee, mapendekezo haya ya Mheshimiwa Zitto yakifanyika kwa wabunge wote wa Jamhuri ya Tanzania zitapatikana fedha kiasi gani zitakazotumika kwa maendeleo ya majimbo yao?
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umekosa cha kuandika??
  we mwenyewe huoni *******?
  Zitto huwa anaandika article ndefu tu, hayo makosa madogomadogo tu yakiuandishi.
   
 20. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna kitu hapa wewe kichapo2015 umetumwa hapa..........?sisi tunachotaka posho za wabunge zisitishwe tu bila kujali imeandikwaje kwenye barua sasa waambie wenzako wa chama cha magamba wasitishe kuchukua posho tu tutawaelewa .
   
Loading...