Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 206
Jana nimekutana na bwana mmoja aliyesema maneno amabyo si ya kawaida lakini yakaelekea kuleta maana.Alisema kuwa CHANZO cha matatizo la maadili, mamba za wanafunzi, nyumba ndogo, ubakaji na kuvunjika kwa ndoa nyingi na yanayofuatia ikiwa pamoja na watoto wa mtaani ni kukataa ukweli kuwa huduma MALAYA ni muhimu. Akaelza mengi jinsi miaka ya nyuma kabla ya UKIMWI mambo yalivyokuwa poa unahitaji huduma unapata unalipia unaendelea na shughuli zako.
Nawasilisha
Nawasilisha