Wana jf ndani ya tamasha la ziff | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf ndani ya tamasha la ziff

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Manyanza, Jun 23, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wana JF?
  Kesho ijumaa msanii kutoka Jamaica anayeishi nchini Marekani atakuwa akitumbuiza katika visiwani Zanzibar katika Ukumbi wa Ngome Kongwe, kwa Member yoyote ambaye atakuwepo pale tunaweza kuwasiliana ili tuzidi kufahamiana vizuri, au kwa wana JF mlioko visiwani Zanzibar tuwasiliane, tuma PM nitakupa namba yangu ya simu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  weka namba yako hapa..wadada kibao watakutafuta
  mi nshwhi kufanya hivi JF ni noumer
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Asante kwa taarifa mkuu barikiwa sana
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nikikuona ntakujia tu mmhhhj
   
 5. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ivi ni kweli kwamba kiingilio kinatofautiana kwa wazenji na wengineo?
  asante kwa mwaliko nasi twakukaribisha bwagamoyo
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kiingilio ni 15,000 tu tofauti na sehemu nyingine kabisa
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaa namba siyo ishu 0712800616
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
  we jamaa umeingia chakaaa.
  afro d fumba macho
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahaha lolNikifunga machoSintoona numberIvuga .. yakwako imegomaNgoja nijaribu hii lol
   
Loading...