Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
Katika zoezi linaloendelea hivi sasa,la kupiga kura ya kupitisha Bajeti,Mh.Edward Lowasa ameitwa mtoro na wabunge wenzake baada ya jina lake kuitwa na kuwa kimya,kuna mbunge akaitikia mtoro.
chenge yupo.Mafisadi wote hawapo,sema kwa lowasa wameropoka tu mtoro
Wanamwogopa?Hawana jeuri ya kumsema akiwepo hao...Walikuwa well sure kwamba hayupo ndio wakasema hilo!
Yupo nje ya nchi,Shibuda nae kakimbia kupiga kura
Hawana jeuri ya kumsema akiwepo hao...Walikuwa well sure kwamba hayupo ndio wakasema hilo!
kwani huyo lowasa ni nani hadi awape watu kimuhe muhe??????????????