Cuf kahongwa scholarship ya us, chadema kahongwa kipande cha muhogo chenye chachandu!

Tolowski

Senior Member
Apr 28, 2011
122
20
Chadema walikuwa wanapiga makelele sana kwa cuf kukubali kuchukua umakamu wa rais zenji,narudia UMAKAMU URAIS!! Wakawatukana sana cuf na kuwaita weak! Wao wameongwa unaibu meya tu,narudia UNAIBU MEYA wamekubali kwa mikono mitatu pamoja na kwamba walisababisha vifo vya watu 3! Kama ni msichana basi cuf ni mtoto wa masaki kahongwa Scholarship ya US, Chadema ni mtoto wa tandale kahongwa kipande cha muhogo chenye chachandu!! Siasa hizi za kinafiki sijui zitaisha lini? Lakini sishangai sana chama kinapokuwa na mtu mnafiki kama marando what do you expect?? SCHOLARSHIP US VS MUHOGO!!!
 
Fanyeni tu masihala katika mambo yanayohusu maisha yenu. Maalim Seif kapewa umakamu sasa yuko busy na kufungua madrasa tu hata kazi haionekani. Najua nyie wapemba mna tabia za kiuchoyo uchoyo mnataka kupata nyie tu ndo maana Hamad Rashid haukuwa kurudisha shangingi la ukuu wa kambi ya upinzani bungeni.
 
Back
Top Bottom