Kitatokea nn hapa....!

Kitatokea nn hapa....!

Shery

Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
45
Reaction score
3
Watoto 2 walikuwa wamekaa nje ya clinic,mmoja wao alikuwa analia kwa sauti.MTOTO WA 2🙁akimuuliza wa 1)kwanini unalia? MTOTO WA 1:Nimekuja hapa kupima damu.MTOTO WA 2:Unaogopa? MTOTO WA 1:Hapana,sio hivyo. Kwa kupima damu wamenikata mkono wangu!Mtoto wa 2 nae akaanza kulia. Mtoto wa 1 akashangaa.MTOTO WA 1:Unalia nn sasa? MTOTO WA 2:Nimekuja hapa kupima mkojo!uwiiiiiiii!
 
Huyo aliekuja kupima mkojo alikuwa wakike wakiume? lol.
 
Akiwa wa kike hiki kibwana watakifyeka...........

Mr_Bean_face.jpg
 
Back
Top Bottom