njuka

njuka

huba.c

Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
30
Reaction score
5
nahitaji elimu zaid abt jf sihitaji mashambuliz ave tried reading to know hw to start a tpoic ila ust.kayumba wangu unanisumbua.
natanguliza shukran
 
Mbona hii ni topic umeshaianzisha tayari?!Fuata hizo hatua ulizofuata mpaka kupost hii....kama hukumbuki nenda tu kwenye jukwaa husika (unapotaka kupost...panapoongelewa unachotaka kupost) alafu angalia juu upande wa kushoto nadhani kuna sehemu imeandikwa NEW TOPIC..click hapo andika unachoandika pamoja na kichwa cha habari kisha bonyeza SUBMIT NEW TOPIC!
 
Tratibu utaelewa tu,we zingatia sheria kwanza.Kwema lakini?Karibu sana.
 
Back
Top Bottom